超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Wiki ya 17 ya Mitindo ya Mavazi ya Kiswahili yaanza rasmi jijini Dar es Salaam, Tanzania (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 09, 2024
Wiki ya 17 ya Mitindo ya Mavazi ya Kiswahili yaanza rasmi jijini Dar es Salaam, Tanzania
Wanamitindo wakiwasilisha ubunifu wa mavazi kwenye Wiki ya 17 ya Mitindo ya Mavazi ya Kiswahili jijini Dar es Salaam, Tanzania, Desemba 6, 2024. (Xinhua/Emmanuel Herman)

Wiki ya Mitindo ya Mavazi ya Kiswahili (Swahili Fashion Week), ambayo ni tukio la kila mwaka la mitindo ya mavazi barani Afrika, imeanza rasmi katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania Ijumaa usiku ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za wanamitindo kuonyesha mavazi jukwaani zitafanyika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha