超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Mwonekano wa mitandao ya barabara katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2024
Mwonekano wa mitandao ya barabara katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao, China
Picha iliyopigwa Desemba 4, 2024 ikionyesha mwonekano wa Daraja la Bandari ya Gaolan (pamoja na minara miwili mikuu upande wa kushoto) na Daraja la Mlango Bahari la Huangmao (pamoja na minara mikuu mitatu kulia) katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Liu Dawei)

Katika miaka ya hivi karibuni, ujenzi wa barabara za madaraja ya kuvuka mto na bahari katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao nchini China umekuwa ukiendelea kwa kasi. Mitandao hiyo ya barabara kiunganishi za madaraja inafanya kazi muhimu sana katika kujenga na kuboresha mtandao mpana wa mawasiliano ya barabarani, kwenye njia ya reli, na njia ya majini katika Eneo la Ghuba Kuu hiyo, vilevile kuhimiza ushirikiano na maendeleo ya kina katika eneo hilo.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha