Lugha Nyingine
Mwonekano wa mitandao ya barabara katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao, China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2024
Picha ya droni iliyopigwa Desemba 15, 2023 ikionyesha mwonekano wa Daraja la Hong Kong-Zhuhai-Macao kusini mwa China. (Xinhua/Liu Dawei) |
Katika miaka ya hivi karibuni, ujenzi wa barabara za madaraja ya kuvuka mto na bahari katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao nchini China umekuwa ukiendelea kwa kasi. Mitandao hiyo ya barabara kiunganishi za madaraja inafanya kazi muhimu sana katika kujenga na kuboresha mtandao mpana wa mawasiliano ya barabarani, kwenye njia ya reli, na njia ya majini katika Eneo la Ghuba Kuu hiyo, vilevile kuhimiza ushirikiano na maendeleo ya kina katika eneo hilo.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma