超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Katika picha: Tarafa ya Zhentang iliyokuwa kimetengwa na nje hapo awali mkoani Xizang, China yakumbatia maisha ya kisasa (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 16, 2024
Katika picha: Tarafa ya Zhentang iliyokuwa kimetengwa na nje hapo awali mkoani Xizang, China yakumbatia maisha ya kisasa
Watu wa kabila la Washerpa wakionekana pichani mbele ya duka katika Tarafa ya Zhentang, Wilaya ya Dinggye ya Xigaze, Mkoani Xizang, kusini-magharibi mwa China, Desemba 13, 2024. (Xinhua/Tenzin Nyida)

Zhentang ni tarafa ya mbali inayopakana na Nchi ya Nepal katika Wilaya ya Dinggye ya mji wa Xigaze, Mkoani Xizang, kusini-magharibi mwa China. Ikiwa imezingirwa na misitu chini ya Mlima Qomolangma ndani kabisa ya Milima ya Himalaya, tarafa hiyo iko kwenye mwinuko wa wastani wa mita zaidi ya 2,000 na ni maskani kwa watu zaidi ya 2,600 wa Kabila la Washerpa.

Zhentang, ambayo maana yake ni "njia ya usafiri," ilipata jina lake hilo wakati watu wa Kabila la Washerpa walipokuwa wakibeba kiasi kikubwa cha mahitaji ya kila siku kuvuka eneo lenye mwinuko muda mrefu uliopita.

Kutokana na kuboreshwa kwa miundombinu ya usafiri na mawasiliano ya simu, watu wa Kabila la Washerpa katika tarafa hiyo ambayo hapo awali ilikuwa imetengwa kwenye mpaka wa China na Nepal sasa wameunganishwa na dunia ya nje na kukumbatia maisha ya kisasa.

Katika miaka ya hivi karibuni, Zhentang imejikita katika kuendeleza biashara ya kuvuka mpaka, ufugaji wa samaki, utalii na sekta nyingine. Mapato ya wastani ya wakazi wa vijijini katika tarafa hiyo yanakadiriwa kufikia yuan 16,578.5 (dola za Marekani kama 2,278.4) mwaka huu, ongezeko la asilimia 19 mwaka hadi mwaka.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha