Lugha Nyingine
Daraja la Yanji la Mto Yangtze linaloendelea kujengwa katika Mkoa?wa Hubei wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 18, 2024
Picha iliyopigwa Desemba 16, 2024 ikionyesha wajenzi wakifanya kazi kwenye eneo la ujenzi wa Daraja la Yanji la Mto Yangtze katika Mkoa wa Hubei, katikati mwa China. (Xinhua/Xiao Yijiu) |
Wajenzi wako katika pilika za kazi nyingi za ujenzi wakiwa kwenye majukwaa ya kazi yenye urefu wa mita karibu 200 juu ya Mto Yangtze mkoani Hubei katikati mwa China na kutekeleza ujenzi wa Daraja la Yanji la Mto Yangtze kwa madhubuti.
Daraja hilo, linalounganisha Wilaya ya Huangzhou ya Mji wa Huanggang na Tarafa ya Yanji ya Mji wa Ezhou, lina urefu wa mita 1,860.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma