Lugha Nyingine
Shindano la 3 la Ufundi stadi?wa Wafanyakazi wa Nchi za SCO laanza mjini Qingdao, Shandong, China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 19, 2024
He Shouzhen (kushoto, mbele) kutoka China akishindana katika Shindano la tatu la Ufundi Stadi wa Wafanyakazi wa Nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai (SCO) mjini Qingdao, Mkoani Shandong, mashariki mwa China, Desemba 18, 2024. (Xinhua/Li Ziheng) |
Shindano la tatu la ufundi stadi wa Wafanyakazi wa Nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai (SCO) limeanza jana Jumatano, Desemba 18 mjini Qingdao, Mkoani Shandong, mashariki mwa China, likishirikishwa na wafanyakazi kushindana katika programu tatu.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma