超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Mandhari nzuri ya theluji ya Kituo cha Kuzalisha umeme kwa nishati ya Jua huko Shanxi, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2024
Mandhari nzuri ya theluji ya Kituo cha Kuzalisha umeme kwa nishati ya Jua huko Shanxi, China

Tarehe 22 mwezi huu, paneli za kuzalisha umeme kwa nishati ya jua, mwanga wa machweo na Mlima Zhongtiao vimeleta mandhari nzuri ya kuvutia baada ya theluji kuanguka kwenye Kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya Jua cha Wilaya ya Ruicheng ya Mji wa Yuncheng, Mkoa wa Shanxi wa China.

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Ruicheng imefanya juhudi kuendeleza matumizi ya nishati mbadala ambazo ni safi na rafiki kwa mazingira, na imepunguza kwa ufanisi uwiano wa matumizi ya makaa ya mawe katika uzalishaji wa umeme. (Picha na Xue Jun)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha