超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Watu wa kabila la Watibet watumbuiza Ngoma ya Xuan katika Mkoa wa Xizang, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
Watu wa kabila la Watibet watumbuiza Ngoma ya Xuan katika Mkoa wa Xizang, China
Watu wa kabila la Watibet wakizungumza baada ya kutumbuiza Ngoma ya Xuan karibu na magofu ya Ufalme wa Guge katika Wilaya ya Zanda ya Eneo la Ngari, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China, Septemba 11, 2024. (Xinhua/Sun Ruibo)

Ngoma ya Xuan ni urithi wa kitamaduni wa Kabila la Watibet wa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China inayotoka Ufalme wa kale wa Guge ambayo huchanganya hotuba, kuimba na kucheza. Ngoma hiyo iliingizwa katika orodha ya urithi wa utamaduni usioshikika wa China Mwaka 2008.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha