Lugha Nyingine
Watu wa kabila la Watibet watumbuiza Ngoma ya Xuan katika Mkoa wa Xizang, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
Ngoma ya Xuan ni urithi wa kitamaduni wa Kabila la Watibet wa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China inayotoka Ufalme wa kale wa Guge ambayo huchanganya hotuba, kuimba na kucheza. Ngoma hiyo iliingizwa katika orodha ya urithi wa utamaduni usioshikika wa China Mwaka 2008.?
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma