Lugha Nyingine
Mwezi Mpevu mwaka huu waonekana duniani kote
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Jana Alhamisi, Tarehe 17 mwezi ulifikia hali yake ya kuwa mpevu majira ya saa 1:26 jioni, na kupita perigi (sehemu ya obiti karibu kabisa na dunia) majira ya saa 2:51 asubuhi. Wataalamu wa sayansi ya anga ya juu wanasema kuwa, huu ni wakati ambao mwezi mpevu umekuwa karibu zaidi na perigi mwaka huu, hivyo mwezi huu mpevu umekuwa mkubwa zaidi wa mwaka, au "Mwezi Mpevu Mkubwa" (Super Moon).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma